ZIWEKE NYWELE ZAKO SAFI NA BEAUTY CREATION WAKATI WOTE


mrembo akiwa teari kuoshwa nywele zake teari na 
mtaalamu kutoka beauty creation salon and spa 
sio bure dada huyu alifurahiya huduma ndio maana
akaamua kuendelea zake kuchati na smart-phone
ahsante mtaalamu wetu

pia tume mpaka makeup ya ukweli tazama uso ulivyo
kubali makeup njoo na wewe upendelewe

mtaalamu akiendelea kufanya yake kumridhisha
mgeni wetu pale 

karibu tena dada yangu kupendeza na beauty
creation salon and spa

MATIBABU YA KUCHA NA NGOZI YAKO NDANI YA BEAUTY CREATION


pata matibabu ya kucha zako pamoja na kulainisha ngozi ya miguu yako
kwa pamoja kupitia mashine hii bora na ya kisasa kutoka hapa beauty creation
ahsnateni sanaa

TUMEPENDEZAJE JAMANIIIII!!!!!!

Blog yetu imedhamiria kukusaidia kujibu masuala yanayohusu afya ya nywele zako na kutoa taarifa na vidokezo juu ya uchaguzi wa aina za nywele na bidhaa zake. Tutatumia pia blog hi hii kutoa maelekezo na mitindo ya urembo wa nywele na ngozi yako, Pia kukumbusha na kukutaarifu kuhusu aina na mitindo mipya ya nywele na makeup, na kutoa update za salon yetu kama una swali lolote fikra kuhusu blog au maoni,ukipenda kufanya appointment na mmoja kati ya wataalam wetu piga simu +255713054879 or +255719168580. Ahsanteni sana kwa kuendelea kutoa ushirikiano kwetu.


The salon is filled with amazingly talented staff, who are always working to improve, inspire and fulfill your hair needs. Our expert stylists have been working in the salon industry for 10+ years, and they not only cut, color and style hair but they exemplify what it means to be a professional hair stylist. They are committed to learning new techniques and trends in the hair industry, learning that they pass along to their fellow stylists and clients. For more about our stylists, click here



At the Beauty Parlour, we believe in beauty with a conscience. We have created a salon that offers the highest quality hair services in a setting that is healthier for the environment, our guests and our staff. We are committed to providing healthy hair care with a low impact on the environment. Come see what you and your hair can do for the Earth. For more information about the salon and our philosophy, click here