mrembo akiwa teari kuoshwa nywele zake teari na
mtaalamu kutoka beauty creation salon and spa
sio bure dada huyu alifurahiya huduma ndio maana
akaamua kuendelea zake kuchati na smart-phone
ahsante mtaalamu wetu
pia tume mpaka makeup ya ukweli tazama uso ulivyo
kubali makeup njoo na wewe upendelewe
mtaalamu akiendelea kufanya yake kumridhisha
mgeni wetu pale
karibu tena dada yangu kupendeza na beauty
creation salon and spa