Blog yetu imedhamiria kukusaidia kujibu masuala yanayohusu afya ya nywele zako na kutoa taarifa na vidokezo juu ya uchaguzi wa aina za nywele na bidhaa zake. Tutatumia pia blog hi hii kutoa maelekezo na mitindo ya urembo wa nywele na ngozi yako, Pia kukumbusha na kukutaarifu kuhusu aina na mitindo mipya ya nywele na makeup, na kutoa update za salon yetu kama una swali lolote fikra kuhusu blog au maoni,ukipenda kufanya appointment na mmoja kati ya wataalam wetu piga simu +255713054879 or +255719168580. Ahsanteni sana kwa kuendelea kutoa ushirikiano kwetu.